Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
ππ£π£ π¬ππ‘π¬π ππ¨ππ¨π§ππππππ ππππ’ πππππ’
Duniani Kuna mambo aiseeπ³, wazungu bhana okay kwa kuwa kazi yangu ni kuwajuza nimepita mahali nikakutana na hii app π₯±....
Kuna app Moja ambayo imeundwa kupitia Teknolojia ya AI ambayo App iyo imezinduliwa Julai mwaka huu ,ikifanikiwa kupata watumiaji zaidi ya 125,000 kwa haraka sana.
Inaitwa Death clock β°, ni app ambayo imeundwa na jamaa anaitwa Brent Franson, app hii inafanya kazi yake ni kutabili maisha ya watumiaji kwa kutumia data ambazo zimetoka kwenye tafiti zaidi ya 1,200 na washiriki zaidi ya milioni 53 kwa kuzingatia vipengele vya maisha kuanzia unapolala, lishe,mazoezi, usingizi, mfadhaiko nk.
App hii ni ya kulipia kwa gharama ya dollar π° $40 tu kwa mwaka.saa hii ya KIFO uweza kutoa ubashiri kwenye maisha, kupitia maisha unayoishi mifumo ya chakula unayokula wanatumia mfumo huo kukutabilia kifo chako.