KERO App za mikopo zimekuwa kero kwa watu wasiohusika sasa wanatoa vitisho

KERO App za mikopo zimekuwa kero kwa watu wasiohusika sasa wanatoa vitisho

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
🤣🤣 ila nchi imevurugwa hii mkopeshaji nae karudisha mijitusi hataki hasara kabisa!.
hii nchi hata utulie vipi kuna watu watakutibua tu!
 
Malalamiko ni kila siku lakini ni kama wenye mamlaka wameweka pamba masikioni. Swali ni kwa faida ya nani?
 
Back
Top Bottom