Nasikia app zimezuiwaKuna kazi kubwa ya kufanya kwa Mwigulu na team nzima ya BOT hizi App zinaendeshwa kwa kanuni ipi au sheria ipi?
Wanatoa wapi kibali cha kukopesha na kutumia taarifa za watu hata wasiohusika na ambao hawajakubali kumdhamini mkopaji?
Soma pia: Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yazionya Taasisi za mikopo zinazodhalilisha watu ikiwemo kutuma ujumbe kwa ndugu
Hebu tupe taarifa kamili mkuu. Nini kimefanyika.Nasikia app zimezuiwa
Kweli?Nasikia app zimezuiwa
Hata mimi najiuliza hili swali.Kweli?