Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
- Thread starter
-
- #21
Unataka kusema zinamilikiwa na wakubwa sio? Pesa X pekee ndo unaweza kuwapat kwa sasa ya nani hii?Hizo App zilikuwa zinatakatisha PESA so Kazi imeisha
Yaani watz ambavyo huwa hatulipi madeni tukopeshwe online🤗🤗
Walikufanya nn mzee mbona husemiDaaah aiseee si mchezo kuna ile inaitwaga branch na tala wale jamaa wabaya sana kwakweli
Ndo walikuwa wanamtumia huyu jamaa angu meseji kwamba mkuu wa branch ni memba wa Freemasons kwahiyo asipolipa atapata matatizo Kwenye maisha yakee mara ataanza na ndugu then tutafata sisi wengineWalikufanya nn mzee mbona husemi
Mara unakuta meseji hivi ushawahi rogwa?? 😂😂😂Walikufanya nn mzee mbona husemi
Watakutupia majini sio?Mara unakuta meseji hivi ushawahi rogwa?? 😂😂😂
Usije ukaanza Kukopa kwa watu humu ndani mods watakuwahi chaaapSasa mm nina dem anataka kuja geto na sina hela ya matanuzi leo nifanyeje? Waniue tu
Watakutupia majini sio?
Kama mtu wa kunikopesha yupo aje tu nataka kwenda kufanya biashara mpakaniUsije ukaanza Kukopa kwa watu humu ndani mods watakuwahi chaaap
Watakutupia majini sio?
Lewi hujambo?Alooo
Wamezipiga mlima hazionekani zote mtandaoni huko, matangazo insta na facebook yapo ila kama kivuli tuOi, nyingine zote zimepotezwa?
AiseeWashafilisika kudadeki alaaaa
Huyo mnyonge, nilikuwa nawaosha matusi. Mpaka wanakaa pembeni, kuna bidada nikamwambia mm usalama ajichanganye aingie anga za watu wasiojulikanaJamaa yangu alikuwa ananyong'onyea kila ikiingia
hiyo text
Wajanja sana hao, wnapata mzunguko wa hela wanahamia biashara nyingine.Ni uwekezaji wa wachina na wanayo hela makao makuu yao wengi yapo makumbusho kwenye magorofa yale
Mbaya zaidi hawasemi ofis zao ziko wapiNi uwekezaji wa wachina na wanayo hela makao makuu yao wengi yapo makumbusho kwenye magorofa yale
Mimi nadeal tu na loan officers wao tuWajanja sana hao, wnapata mzunguko wa hela wanahamia biashara nyingine.
Umewaona kina nan mkuu nitajie nikawakope mda huuMbona wapo nmewaona playstore