App zetu za mikopo umiza mmezifanya nini tena wazee?

App zetu za mikopo umiza mmezifanya nini tena wazee?

Screenshot_20240913-215911.png
 
Wale jamaa wana ukatili ndani yao kwa asilimia flani
Kuna jamaa angu alikopa kama laki na nusu bhana, weeh si akaanza kutumiwa texts kwamba mkuu wao ni freemason wa nigeria huko ukieendelea kujifanya mgumu hutaki kurudisha hizo hela tutaanza na ndugu zako hadi wewe apo.......

Binafsi niliogopa kinomaa daaah
Ukaogopa
 
Back
Top Bottom