App zinazotoa mikopo mitandaoni zina riba kubwa sana, ukichelewa rejesho wanatuma SMS kwa namba zote ulizowasiliana nazo

Hanceog

New Member
Joined
Mar 16, 2018
Posts
1
Reaction score
11
Kuna app za mikopo mitandao wanatoa mikopo kwa riba kubwa sana na ikitokea umechelewa kuwalipa kwa muda wanawatumia SMS namba zote unazowasiliana nazo na kuwaambia umekopa na kuwaweka wao mdhamana.

Je kisheria ipo sawa hiyo kudukuliwa mawasiliano yako. Moja ya hizo app ni PESA M LOAN. Tunaomba kujua je wapo sahihi kudukua namba za mawasiliano na phonebook ya mteja wao.



Pia soma=> Gerson Msigwa: Tozo kwenye Miamala ya kutoa pesa bado ipo
 


Kwenye terms and conditions uliwapa access kwa hiyari, app ikabeba file lote.
 
Naomba kujua kama kuna aliyewahi kupata mkopo kupitia Pesa X.

Naona kama wanakusanya taarifa zetu, wanapoomba vitambulisho, namba za Mawasiliano halafu mwisho wa siku hupati mkopo.

Mamlaka zinataarifa na hizo app!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…