The soul and blood that the infamous CEO geza depends on how kenya is a failed state.
Generally his views are among ndanganiass inread point of view.
Ask CEO geza what pragmatism means and watch the drama that follows.
Haijaharibika wewe, inanunuliwa latest sababu yenye iko matumizi yake kwa viwanja vya ndege vya gazi ya juu unakamilika karibuni, hiyo ni upgrade tu mkuu. Alafu kuwa unasoma vizuri! 🤣
✌️
Ni wapi kwenye hio report ambapo pameandikwa kwamba Jkia haina air traffic control system na kwamba tunategemea ya Kilimanjaro? Onyesha wazi wazi imeandikwa wapi.