Apparently the richest Kenyan Kirubi has a wealthy of only $200 mln

Apparently the richest Kenyan Kirubi has a wealthy of only $200 mln

Sasa kama huyu ndo mlikuwa mnatamba nae humu ndani anakufa na court inasema (declare) he worths $200 mln n he was the richest man in the whole of Kunyaland, una cha kuongea tukisema mnapendaga ku-exaggerate mambo! HapHapo Kunyaland kuna individual mwenye $500 mln?
Taja jina ya Mkenya aliyesema kwamba huyu alikuwa the richest Kenyan. Mtaje. Vimal Shah unamjua? Uhuru Kenyatta umemsikia? Forbes magazine yenyewe inawataja Vimal Shah na Uhuru Kenyatta kama matajiri kushinda huyu jamaa wako.
 
Generally Kenya is still richer than Tanzania.nairobi only can match the whole tanganyika
Kama kawaida yenu, media zenu na viongozi wenu waliwadanganya kwa muda mrefu, Sasa hivi ukweli ndio umeanza kujulikana, Tanzania has more than 5K $Millionaires while Kenya has only above 2K.
 
Kama kawaida yenu, media zenu na viongozi wenu waliwadanganya kwa muda mrefu, Sasa hivi ukweli ndio umeanza kujulikana, Tanzania has more than 5K $Millionaires while Kenya has only above 2K.
okay give me any Tanzanian article which says Tanzania is richer than Kenya economically
 
Most importantly, he is black. Secondly, this shows an equitable distribution of wealth - sio hapo kwenu wahindi na waarabu mabilionea wakati mwananchi mweusi ni fukara.
We chizi unajua kuwa marehem Mengi alikuw rich twice ya iyo senti apo...500+ml usd...nyie nigukaraa mnaojipiga kifua
 
Kwani raia wa Tanzania lazima awe "black", Mo wazazi wake wamezaliwa Tanzania, ni raia wa Tanzania kwa kuzaliwa, huo ubaguzi wenu ndio unaosababisha kubagua kwa misingi ya ukabila
Mtu yupo zaidi ya generation ya tano hapa Tanzania! Halafu walivyo wajinga wanadai ana asili ya Uarabu! Mo Dewji asili yake ni Gujarat!
 
Wewe ndio mjinga sababu wazee wenzako wakitengeneza mihela wewe unakesha humu kuwashabikia na hata hawakujuhi.halafu moh ni Indian not even African
This comment man, I felt it😂🤣..JF never fails to impress me..
 
Wakati mwingine huwa nafikiri baadhi ya watu hawaelewi nini maana ya hata 1 million US dollars, wanaona namba tu lkn hawawezi kurelelate na hiyo namba, I mean unawezaje kusema eti only 200 Million Dollars ?

Hivi unaelewa maana ya 200 million dollars US ?
 
Back
Top Bottom