Gawana nae huo wa kwako yaani unataka familia nzima msomeshwe na bodi duuh hiyo tunaita Egoism!!!!!!:target:
Ndugu nimepata mkopo but dada
angu kakosa kabisa naomba msaada jinsi kufanya appeal! na anatakiwa
afanye lini kabla au baada ya kulipoti chuo na utaratibu unakuaje wa
kufanya hiyo kitu!
Poa mkuu.. Hata mm hii inanihusuKuna muda maalum wanatoa kwa ajili ya appeal na mara nyingi inakuwa baada ya kufungua chuo.Ni vema akajiandaa kulipa kwa ajili ya registration na atunze risiti ili akipewa arudishiwe.Process inachukuwa muda kidogo.