Appeal ya heslb

Appeal ya heslb

luofe

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
330
Reaction score
143
Ndugu nimepata mkopo but dada angu kakosa kabisa naomba msaada jinsi kufanya appeal! na anatakiwa afanye lini kabla au baada ya kulipoti chuo na utaratibu unakuaje wa kufanya hiyo kitu!
 
Gawana nae huo wa kwako yaani unataka familia nzima msomeshwe na bodi duuh hiyo tunaita Egoism!!!!!!:target:
 
Ciumgawaie au unapanga kuhonga...ndvyo tulivyo wabongo yan unawabania home afu unamwachia jiran
 
mtu kauliza vingine anajbwa vngne. Wangese nyie hata mitihan mnafeli kwa kwenda opp. Mnajfanya wajuaj kwenye jumba la wanasayansi.
 
Ndugu nimepata mkopo but dada
angu kakosa kabisa naomba msaada jinsi kufanya appeal! na anatakiwa
afanye lini kabla au baada ya kulipoti chuo na utaratibu unakuaje wa
kufanya hiyo kitu!

Kuna muda maalum wanatoa kwa ajili ya appeal na mara nyingi inakuwa baada ya kufungua chuo.Ni vema akajiandaa kulipa kwa ajili ya registration na atunze risiti ili akipewa arudishiwe.Process inachukuwa muda kidogo.
 
Poa mkuu.. Hata mm hii inanihusu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom