R ricky eliud Member Joined Dec 21, 2012 Posts 15 Reaction score 1 Jul 7, 2014 #1 nilikuw naomba ushauri eti kutafuna mchele kunaweza kunisababishia mim kupata apendix au kifuko cha appendix kujaa? please naomba ushaur coz nimedevelop hii habit ya kutafuna mchele na nashindwa kujizuia
nilikuw naomba ushauri eti kutafuna mchele kunaweza kunisababishia mim kupata apendix au kifuko cha appendix kujaa? please naomba ushaur coz nimedevelop hii habit ya kutafuna mchele na nashindwa kujizuia
R raymg JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 842 Reaction score 214 Jul 7, 2014 #2 Hapana....we tafuna tu, ila ni chakula ambacho hakijapikwa so unaweza pata magonjwa mengine kama kuhara na minyoo
Hapana....we tafuna tu, ila ni chakula ambacho hakijapikwa so unaweza pata magonjwa mengine kama kuhara na minyoo