appendix

appendix

ricky eliud

Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
15
Reaction score
1
nilikuw naomba ushauri eti kutafuna mchele kunaweza kunisababishia mim kupata apendix au kifuko cha appendix kujaa? please naomba ushaur coz nimedevelop hii habit ya kutafuna mchele na nashindwa kujizuia
 
Hapana....we tafuna tu, ila ni chakula ambacho hakijapikwa so unaweza pata magonjwa mengine kama kuhara na minyoo
 
Back
Top Bottom