Apple cider vinegar

Apple cider vinegar

PesaNdogo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
1,994
Reaction score
1,291
Jaman wataalamu, nimesoma sehem apple cider vinager inasaidia kutibu insulin resistance na weight loss kiujumla Ni kweli? Na itumiwe kwa kipimo gani?
 
unakunywa kijiko kmoja asubuh..mchn na jion... mix na asal utapungua vzr..mm nltumia kwa mwez nlpunguza kilo 9.
 
unakunywa kijiko kmoja asubuh..mchn na jion... mix na asal utapungua vzr..mm nltumia kwa mwez nlpunguza kilo 9.

Asante. Unaweka kwenye maji hiyo asali na vinegar au kavu kavu?
 
unakunywa kijiko kmoja asubuh..mchn na jion... mix na asal utapungua vzr..mm nltumia kwa mwez nlpunguza kilo 9.

unaweka kjko k1 ch asal na vinega maj kiduchu km vjko viwl thn kunywa...yataka moyo lkn ina kupa majb mazur sn.....
 
Jaman wataalamu, nimesoma sehem apple cider vinager inasaidia kutibu insulin resistance na weight loss kiujumla Ni kweli? Na itumiwe kwa kipimo gani?

Ukitaka kupungua unene fasta we tumia vitu viwili tu:-

-Asali na limao unamix ndani ya maji ya vuguvugu na sii ya moyo (kijiko kimoja kikubwa kilichojaa asali na kipande cha limao) kila asbh nusu saa kabla ya kunywa chai

-Kuna dawa moja ya kimasai ya kuyeyusha mafuta ukinywa siku 3 tu utaharisha then baada ya hapo kapime kilo uone.
 
Dr MziziMkavu alishaandika uzi kuhusu hii kitu.

Kuna information nyingi tu mtandaoni. Nadhani inashauriwa kuweka 2 tablespoons kwenye maji ya uvuguvugu na kunywa nusu saa kabla ya lunch na dinner. Inapunguza appetite na inasaidia digestion na metabolism.
MziziMkavu tupe idea zako hapa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom