Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhan kama wata announce iphone 16 that soon, ila ios 18 ndio itakuwa topView attachment 3013982
Wameanza kwa mbwembwe kama hivyo na ndugu zetu upinde wamepata kipaumbele namna hiyo
View attachment 3013983
Website ya AppleBETA iko busy naona soon wale wa dev beta mzigo utakua hewani IOS 18
Kwao kule hawana shida nao, wao wanaangalia performance ya mtu, hawataki ku deal na jinsia yakoKama kawaida yao wasenge wanapewa kipaumbele kmmmk
Performance ya kufirwa au?Kwao kule hawana shida nao, wao wanaangalia performance ya mtu, hawataki ku deal na jinsia yako
Sorry kaka sipo kwenye matusi. Ninapozungumzia performance, ni ya ufanyaji kazi wa mtu. how mtu ana deliver kwenye sekta aliyopo kikazi.Performance ya kufirwa au?
pointi kubwa sana hiiSorry kaka sipo kwenye matusi. Ninapozungumzia performance, ni ya ufanyaji kazi wa mtu. how mtu ana deliver kwenye sekta aliyopo kikazi.
Yes una run company inayo leta product za simu na laptop, ubora wa hivyo vifaa ukoje? Ubora unaongezeka au lah? Faida kiasi gani vinaingiza.
Kwao kule they dont care hata kama unazino na kuku
Ninazungumzia mada ya upinde sio performance ya mtu kwenye kaziSorry kaka sipo kwenye matusi. Ninapozungumzia performance, ni ya ufanyaji kazi wa mtu. how mtu ana deliver kwenye sekta aliyopo kikazi.
Yes una run company inayo leta product za simu na laptop, ubora wa hivyo vifaa ukoje? Ubora unaongezeka au lah? Faida kiasi gani vinaingiza.
Kwao kule they dont care hata kama unazino na kuku
Sijawahi kutumia IPHONE.... So hizi mambo hazikuwepo before au??? Mbona Kwa Android vina miaka msingi Sanaa
Vyote vilivyoandikwa hapo, tayari android anavyo.Sijawahi kutumia IPHONE.... So hizi mambo hazikuwepo before au??? Mbona Kwa Android vina miaka msingi Sanaa
Mabadiliko makubwa ambayo tayari android anayo au ameacha kuyatumia miaka mitano iliyopita 😂Site yao bado iko busy wanapakia vitu na nikiangalia event yao hapa naona IOS 18 inakuja na mabadiliko makubwa
Ila raia wa iphone wanateseka sana aisee 😂 ety RCS ndio kitu kipya kwao 😂Sijawahi kutumia IPHONE.... So hizi mambo hazikuwepo before au??? Mbona Kwa Android vina miaka msingi Sanaa
Basi si sehem yake, anzisha mada separateNinazungumzia mada ya upinde sio performance ya mtu kwenye kazi
Hii inachekesha aseeeIla raia wa iphone wanateseka sana aisee 😂 ety RCS ndio kitu kipya kwao 😂
Aisee rcs sio kitu pekee hiko ni kidogo mno, wana features kali ambazo sasmsung hawana currently, wame add vitu vingi sana. angalia video zao ndio utajuaMabadiliko makubwa ambayo tayari android anayo au ameacha kuyatumia miaka mitano iliyopita 😂
Poleni sana ndugu zangu 😂
IPhone nyie tunawajua bhana 😂Aisee rcs sio kitu pekee hiko ni kidogo mno, wana features kali ambazo sasmsung hawana currently, wame add vitu vingi sana. angalia video zao ndio utajua
Bongo ni washamba na wanafiki, ndo maana umaskini umetamalaki.Kwao kule hawana shida nao, wao wanaangalia performance ya mtu, hawataki ku deal na jinsia yako