cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Achana nae huyo maskini, wala hawezi kukuelewaa. Mpotezeee.Sorry kaka sipo kwenye matusi. Ninapozungumzia performance, ni ya ufanyaji kazi wa mtu. how mtu ana deliver kwenye sekta aliyopo kikazi.
Yes una run company inayo leta product za simu na laptop, ubora wa hivyo vifaa ukoje? Ubora unaongezeka au lah? Faida kiasi gani vinaingiza.
Kwao kule they dont care hata kama unazino na kuku
Ila umeandika ukweli kabisaaa