Apple event ujio wa IOS 18 na iPhone 16

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2016
Posts
1,368
Reaction score
1,325


Wameanza kwa mbwembwe kama hivyo na ndugu zetu upinde wamepata kipaumbele namna hiyo




Website ya AppleBETA iko busy naona soon wale wa dev beta mzigo utakua hewani IOS 18



IOS 18 is out now
 

Attachments

  • IMG_1871.png
    2.9 MB · Views: 7
Performance ya kufirwa au?
Sorry kaka sipo kwenye matusi. Ninapozungumzia performance, ni ya ufanyaji kazi wa mtu. how mtu ana deliver kwenye sekta aliyopo kikazi.
Yes una run company inayo leta product za simu na laptop, ubora wa hivyo vifaa ukoje? Ubora unaongezeka au lah? Faida kiasi gani vinaingiza.
Kwao kule they dont care hata kama unazino na kuku
 
pointi kubwa sana hii
 
Site yao bado iko busy wanapakia vitu na nikiangalia event yao hapa naona IOS 18 inakuja na mabadiliko makubwa
 
Ninazungumzia mada ya upinde sio performance ya mtu kwenye kazi
 
Mabadiliko makubwa ambayo tayari android anayo au ameacha kuyatumia miaka mitano iliyopita πŸ˜‚
Aisee rcs sio kitu pekee hiko ni kidogo mno, wana features kali ambazo sasmsung hawana currently, wame add vitu vingi sana. angalia video zao ndio utajua
 
Aisee rcs sio kitu pekee hiko ni kidogo mno, wana features kali ambazo sasmsung hawana currently, wame add vitu vingi sana. angalia video zao ndio utajua
IPhone nyie tunawajua bhana πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…