Apple event ujio wa IOS 18 na iPhone 16

Achana nae huyo maskini, wala hawezi kukuelewaa. Mpotezeee.

Ila umeandika ukweli kabisaaa
 
Hiyo ya upinde ni sehemu ya huu uzi lazimq izungumziwe humuhumu

Soma vizuri
Alieanzisha uzi ameelezea kwa ufupi apple wwdc 2024 events, where by wanakuja na new ios 18, new mac os, new whatch os na vision Os.
Na uzi upo jukwaa la tech, we are discussing tech things here sio gender and colors, hiyo sio concern ya users wa apples
 
Soma maelezo ya mwishoni ya uzi
 
Idara ya masoko ya apple ni kiboko, vitu kibao Kwa kweli hata si vigeni kwenye android
 
Weka financial statement hapa na mimi niweke ya kwangu kunguru jike wewe. Pesa ina kuwa defined na kumiliki iphone? Humo kwenye kichwa chako umejaza kamasi?
Akili KIAZI
 
Akili KIAZI
Wewe ni likondoo tu. Kujishebedua na iphone kwenye mifuko ya shati huku marinda yamefumuka sio jambo jema. Anyway ulipaswa kununua simu nyingine na sio ku update/uograde OS. Halafu hiyo ugawie masikini fala wewe
 
Kawaida ya wengi wa masikin kama wewei kuwa na wivu na hasira!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…