Apple icon na dhana inayoleta maswali

Apple icon na dhana inayoleta maswali

Nafahamu kuna watu wavivu wa kufikiri ambao wanaogopa kufikiri vingine na mtu akifanikiwa tu wanamhusisha na Mason,lakini hii haina maana kuwa Mason hawapo kweli

Kusema tu "ishu za mason ni za kufikirika" unakuwa hujatendea haki yote haya na mengine ambayo yanathibitisha uwepo wa hawa watu

Kuna kitu nimekiona hapa sikukijua kabisa
 
kama kuna mahala nishawahi kusoma kuhusu logo hiyo......kwamba ni apple lile lililo mdondokea kichwani sir.isack newton afu akaling'ata kidogo hata kunavikatuni vinaonesha hilo....na niliamini hivo.....
 
Freemasonry is real
And it's nothing but kaballah and symbols
It's just like alchemist
Sio dhana Ya ajabu
But ni Siri coz kichaa hawezi kupewa rungu
Coz unveiling the knowledge to everyone it's like kumpa kichaa rungu
That's y it's secret
 
Logo original ya mwanzo kabisa ya Apple Inc. ni hii hapa:
Apple.jpg
ukitaka kujadili mambo kama haya usitangulize conspiracy, unatakiwa uanze kuchimba mwenyewe na kujiuliza maswali, mwisho wa siku utapata majibu yaliyo sahihi au yaliyo karibu na usahihi.
Mfanno;
-Nani walianzisha kampuni?
-Historia ya waanzilishi ikoje?
-Kwa nini waliita kampuni yao jina hilo?
-Nembo ina uhusiano gani na jina?
Taratibu unaweza kupata jibu. Lakini ukianzia nje kwenye theory unayotaka kujiaminisha utajikuta unapindisha na kufitisha majibu ili ufikie muafaka unaotaka wewe.
 
Uchaguzi wa Logo ya Biashara hufikia ubora wake wa nia na makusudi kisanaa kwa kule kwake kukidhi mvuto kwa akili na hisia.

Vitu huvutia ikiwa taswira yake huakisi mawiano maalum; na tena yale yenye sifa ya kufanana na mfanyiko wa maumbile ya asili.

Kwa kuzingatia mawiano bora yajayo na kile kiitwacho kwa kiingereza 'Golden Ratio' -- kwa mujibu wa maarifa, michoro-sanaa na ujuzi wa jeometria, bila shaka mbunifu wa logo ya kampuni ya Apple alifaulu sanaa yake kukubalika na hatimaye kuja kutumika kuwa moja ya Sanaa Rasmi za Kampuni.

Si lazima kuwepo na uambatano wa nadharia za njama zenye kuitaja taasisi ya 'Freemanson'... Ila ndiyo, Freemanson kwa asili kabisa ni wanamichoro yenye kuakisi sifa mjengeko wa maumbile ya uzima lakini kuzihamshia sifa hizo kwa hasa, kwenye ubunifu wa Majengo. Ikiwa unaona Kanisa limejengwa na kuja kuwa sura ya kupendeza mara nyingi mkono na Ujuzi wa Mwanafreemanson umehusika, na hasa makanisa yote makubwa zamani kmf. ma-Kathedriyo... Mashariki ya kati, Arabia na Uajemi kumekuwa na Wasanii wa Naqshband--Wasanifu wa Misikiti yenye kupendeza mno, pia makazi, majengo mengine ya miji. Bara Hindi -- Shastra Vaastu, labda ndiko sanaa zote za namna hii zimetukuka kabisa kwa takriban miaka mingi kabla ya hata zama za dini za Kikristo na Uislam.

Sanaa ina maana zaidi ikiwa inafuatisha jeometria ya maumbo hai.

apple_logo_golden_ratio.pnghttp://www.banskt.com/blog/golden-ratio-in-logo-designs/
 
If Apple got something to do with Freemasons ,how the hell did jobs died of cancer?i believe masons have power to protect their people against any dangerous thing but as for the case of jobs he died of steadily des ease that took him to the peak of his death after ten years,some people link it with AIDS.....anybody with a clue please
 
“If Jobs had suffered from the most common form of pancreatic cancer, adenocarcinoma, the chances are he would have died soon after his 2003 diagnosis. But as Jobs later revealed, he had an unusual form of pancreatic cancer known as a neuroendocrine tumor or islet cell carcinoma.”Sep 15, 2014
Charlotte conference on the cancer that killed Steve Jobs | The ...
Charlotte Observer
 
Masonic idea ni hila tu za kusumbua ubongo wa watu, mambo km haya uthibitishaji wake ni mgumu na nadhani kwa sababu hakuna mambo km hayo...fanya kazi kwa bidii, push yourself up to the limit then baada ya kupata mafanikio kiasi..kisha utasiki "He is a masonic believer" na jina lako la #Uledi litaogopwa kwamba la ki-freemason.
Mungu akamwambia Mussa; tengeneza sanamu ya nyoka wa shaba kisha isimamishe mbele ya wana wa Israel na itakuwa ya kwamba kila atakayeng'atwa na nyoka akiitazama sanamu hiyo atapona. Hayo mambo ya logo sio mchezo mchezo na uchapa kazi yana deep meaning.....
 
Kuna mambo ambayo yanatokea humu duniani ambayo yanamfanya mtu yoyote yule ajiulize maswali mengi bila kupata majibu,kuna zile habari za vyama vya siri ambazo leo zinaonekana kama ngano kwa baadhi ya watu na kwa wengine zikiwa kama ni mambo ambayo yana uhalisia wake

Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hii logo ya bidhaa zinazokwenda kwa jina la Apple,ni kwanini hiyo logo au icon inaonekana imeng'atwa?

Yaani linaonekana tunda hilo la Apple limeng'atwa kipande,kwanini iko hivyo?

Kuna nadharia nyingi sana kuhusiana na hili lakini ile ambayo inaonekana kupata nguvu ni ile ya tunda hilo kuwakilisha tunda lililoliwa pale Eden na Adam na Hawa kuashiria dhambi kuingia duniani,hili linaonekana kupata nguvu kwasababu ya mazingira yenyewe ya logo hiyo

Wenye kukubaliana na hii ya Eden wanaendelea kusema kuwa hili linawakilisha wenye bidhaa hizi kukubaliana na dhana ya shetani kutaka kumuokoa mwanadamu na 'udikteta" wa Mungu na kumpa uhuru hivyo wanaendeleza mapambano ya kumuondoa binadamu kutoka kwenye huo udikteta na ndio maana wanakubaliana na shetani

Hebu tazama hizi picha hapa chini ......

images
images
images
images
images
images
images

Hizo ndio logo za hawa jamaa,kama kuna mtu ambae ana maelezo ya kwanini ziko hivyo basi sio vibaya akatueleza hapa nasi tukaelewa maana kuna watu kama hawa hawa wanaendelea na dhana kama hizi;

Hebu tujaribu kuangalia na hili ili tuweze kupata majibu angalau kidogo ambayo yataweza kuturidhisha .....!!

Kuna UTHIBITISHO gani kwamba TUNDA walilokula ADAMU & HAWA/EVA Lilikuwa ni APPLE?
 
If Apple got something to do with Freemasons ,how the hell did jobs died of cancer?i believe masons have power to protect their people against any dangerous thing but as for the case of jobs he died of steadily des ease that took him to the peak of his death after ten years,some people link it with AIDS.....anybody with a clue please
Unaweza kuthibitisha alifariki kwasababu ya maradhi ya kanza au unaandika kile ambacho ulisoma kwenye vyombo vya habari?

Pili,maradhi ni maradhi tu na hakuna mwenye mamlaka ya kuyazuia hata kama angekuwa nani,so kudhani kuwa kuna watu wanaweza kuzuia ni kufikiri kimakosa..

Tatu,unajua namna ambayo hawa "watu" wanavyofanya mambo yao?
 
Steve Jobs wala mwenzake Steve Wozniak walioanzisha apple hawakuwa freemason wala hawakuwa na muda wa kuamini dini yoyote.Jobs alikuwa anafata misingi ya kibudha...kwahiyo msiwahusishe na secret organization zozote.Kwanza walikuwa hawana muda..
 
Unaweza kuthibitisha alifariki kwasababu ya maradhi ya kanza au unaandika kile ambacho ulisoma kwenye vyombo vya habari?

Pili,maradhi ni maradhi tu na hakuna mwenye mamlaka ya kuyazuia hata kama angekuwa nani,so kudhani kuwa kuna watu wanaweza kuzuia ni kufikiri kimakosa..

Tatu,unajua namna ambayo hawa "watu" wanavyofanya mambo yao?
naelewa Kwa kiasi chake ndo mana Kwa maelezo yangu nimejaribu kuelekea kua sidhani kama jobs angalikua mason angelikufa namna ile maana nina mfano wa mason kama watatu walio weza okolewa na dhoruba flan flan zaidi ya mara moja ....if you may need evidence naweza uleta...free masons are not bad people ofcourse
 
Nipe huo ushhidi kuwa Freemason sio watu wabaya kwanza halafu hayo mengine yatafuata baadae......
 
Back
Top Bottom