Nafahamu kuna watu wavivu wa kufikiri ambao wanaogopa kufikiri vingine na mtu akifanikiwa tu wanamhusisha na Mason,lakini hii haina maana kuwa Mason hawapo kweli
Kusema tu "ishu za mason ni za kufikirika" unakuwa hujatendea haki yote haya na mengine ambayo yanathibitisha uwepo wa hawa watu
Kuna kitu nimekiona hapa sikukijua kabisa
“If Jobs had suffered from the most common form of pancreatic cancer, adenocarcinoma, the chances are he would have died soon after his 2003 diagnosis. But as Jobs later revealed, he had an unusual form of pancreatic cancer known as a neuroendocrine tumor or islet cell carcinoma.”Sep 15, 2014If Apple got something to do with Freemasons ,how the hell did jobs died of cancer?i believe masons have power to protect their people against any dangerous thing but as for the case of jobs he died of steadily des ease that took him to the peak of his death after ten years,some people link it with AIDS.....anybody with a clue please
Mungu akamwambia Mussa; tengeneza sanamu ya nyoka wa shaba kisha isimamishe mbele ya wana wa Israel na itakuwa ya kwamba kila atakayeng'atwa na nyoka akiitazama sanamu hiyo atapona. Hayo mambo ya logo sio mchezo mchezo na uchapa kazi yana deep meaning.....Masonic idea ni hila tu za kusumbua ubongo wa watu, mambo km haya uthibitishaji wake ni mgumu na nadhani kwa sababu hakuna mambo km hayo...fanya kazi kwa bidii, push yourself up to the limit then baada ya kupata mafanikio kiasi..kisha utasiki "He is a masonic believer" na jina lako la #Uledi litaogopwa kwamba la ki-freemason.
Kuna mambo ambayo yanatokea humu duniani ambayo yanamfanya mtu yoyote yule ajiulize maswali mengi bila kupata majibu,kuna zile habari za vyama vya siri ambazo leo zinaonekana kama ngano kwa baadhi ya watu na kwa wengine zikiwa kama ni mambo ambayo yana uhalisia wake
Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hii logo ya bidhaa zinazokwenda kwa jina la Apple,ni kwanini hiyo logo au icon inaonekana imeng'atwa?
Yaani linaonekana tunda hilo la Apple limeng'atwa kipande,kwanini iko hivyo?
Kuna nadharia nyingi sana kuhusiana na hili lakini ile ambayo inaonekana kupata nguvu ni ile ya tunda hilo kuwakilisha tunda lililoliwa pale Eden na Adam na Hawa kuashiria dhambi kuingia duniani,hili linaonekana kupata nguvu kwasababu ya mazingira yenyewe ya logo hiyo
Wenye kukubaliana na hii ya Eden wanaendelea kusema kuwa hili linawakilisha wenye bidhaa hizi kukubaliana na dhana ya shetani kutaka kumuokoa mwanadamu na 'udikteta" wa Mungu na kumpa uhuru hivyo wanaendeleza mapambano ya kumuondoa binadamu kutoka kwenye huo udikteta na ndio maana wanakubaliana na shetani
Hebu tazama hizi picha hapa chini ......
Hizo ndio logo za hawa jamaa,kama kuna mtu ambae ana maelezo ya kwanini ziko hivyo basi sio vibaya akatueleza hapa nasi tukaelewa maana kuna watu kama hawa hawa wanaendelea na dhana kama hizi;
Hebu tujaribu kuangalia na hili ili tuweze kupata majibu angalau kidogo ambayo yataweza kuturidhisha .....!!
Unaweza kuthibitisha alifariki kwasababu ya maradhi ya kanza au unaandika kile ambacho ulisoma kwenye vyombo vya habari?If Apple got something to do with Freemasons ,how the hell did jobs died of cancer?i believe masons have power to protect their people against any dangerous thing but as for the case of jobs he died of steadily des ease that took him to the peak of his death after ten years,some people link it with AIDS.....anybody with a clue please
naelewa Kwa kiasi chake ndo mana Kwa maelezo yangu nimejaribu kuelekea kua sidhani kama jobs angalikua mason angelikufa namna ile maana nina mfano wa mason kama watatu walio weza okolewa na dhoruba flan flan zaidi ya mara moja ....if you may need evidence naweza uleta...free masons are not bad people ofcourseUnaweza kuthibitisha alifariki kwasababu ya maradhi ya kanza au unaandika kile ambacho ulisoma kwenye vyombo vya habari?
Pili,maradhi ni maradhi tu na hakuna mwenye mamlaka ya kuyazuia hata kama angekuwa nani,so kudhani kuwa kuna watu wanaweza kuzuia ni kufikiri kimakosa..
Tatu,unajua namna ambayo hawa "watu" wanavyofanya mambo yao?
Nipe huo ushhidi kuwa Freemason sio watu wabaya kwanza halafu hayo mengine yatafuata baadae......naelewa Kwa kiasi chake ndo mana Kwa maelezo yangu nimejaribu kuelekea kua sidhani kama jobs angalikua mason angelikufa namna ile maana nina mfano wa mason kama watatu walio weza okolewa na dhoruba flan flan zaidi ya mara moja ....if you may need evidence naweza uleta...free masons are not bad people ofcourse