mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Unaijua Samsung?watu wanaongelea simu wewe unaongelea vitu gani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaijua Samsung?watu wanaongelea simu wewe unaongelea vitu gani mkuu
S9 note s10 notesimu NI Samsung [emoji847][emoji847][emoji847].
S 9,s10
S9 note s10 note.
Nazikubali sana
Hata sijuiS9 note s10 note
ndio zipi hizo
S9 na S9+ ukaaji wao wa chaji uko vipi nataka nivute moja wapo kesho asubuhi mitaa ya kkoosimu NI Samsung [emoji847][emoji847][emoji847].
S 9,s10
S9 note s10 note.
Nazikubali sana
Zinakaa vizuri tu.S9 na S9+ ukaaji wao wa chaji uko vipi nataka nivute moja wapo kesho asubuhi mitaa ya kkoo
Nataka kununua refurbished kwa 400kZinakaa vizuri tu.
Kama utawez nunua kwenye maduka yao ya Samsung
Kaka hayo Sina ujuzi nayoNataka kununua refurbished kwa 400k
😂😂😂Ko Samsung sio simu mkuu...?watu wanaongelea simu wewe unaongelea vitu gani mkuu
Na ndio maana mwaka huu sijaona muendelezo wa iPhone SE 2020 yenye 4.7inch display na button au labda kama wana-skip kwa interval ya muda fulani ndo watoe toleo jipya. Hizi iPhone zenye button bado zinapendwa mno kwa vile jinsi ziko so unique na zinavutia, nafikiri wasizi-phase out kwani ni low budget na zilo portable sana!
🙌🙌🙌 KweliNa ndio maana mwaka huu sijaona muendelezo wa iPhone SE 2020 yenye 4.7inch display na button au labda kama wana-skip kwa interval ya muda fulani ndo watoe toleo jipya. Hizi iPhone zenye button bado zinapendwa mno kwa vile jinsi ziko so unique na zinavutia, nafikiri wasizi-phase out kwani ni low budget na zilo portable sana!