Apple inaacha kutengeneza iPhone Mini

Na ndio maana mwaka huu sijaona muendelezo wa iPhone SE 2020 yenye 4.7inch display na button au labda kama wana-skip kwa interval ya muda fulani ndo watoe toleo jipya. Hizi iPhone zenye button bado zinapendwa mno kwa vile jinsi ziko so unique na zinavutia, nafikiri wasizi-phase out kwani ni low budget na zilo portable sana!
 

iphone SE 2,ilikuwa simu ya 2020,but ilikuwa nyuma ya iphone 8 plus kwa vingi tu.

kama kuna mpenzi wa home button angechukua 8plus badala ya hiyo.
 
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Kweli
Pengine huenda wana sera zao za biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…