Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Kwakweli Apple na product yake ya iPhone ni kama vile ni unstoppable, iPhone 13 imefanya vizuri sana na kuirudisha apple kwenye nafasi ya 1 kwa mauzo na mapato nchini China.
Kama mnakumbuka kuna kipindi ilifanyika kampeni ya kushusha mauzo ya iPhone China ili kupandisha mauzo ya simu zinazotengenezwa huko, na kweli ilifankiwa lakini sasa meza zimegeuka.
Samsung haijawahi fanya vizuri China hivyo hiyo hata tusiizungumzie.
Kuna jamaa alisema
APPLE invented this amazing product called the iPhone and then built many services around it to make more money