Tunaomba chanzo cha habari
Mkuu hivi hiyo kampeni ya kushusha mauzo ya iphone yaliyanyika katika njia ipi?Kwakweli Apple na product yake ya iPhone ni kama vile ni unstoppable, iPhone 13 imefanya vizuri sana na kuirudisha apple kwenye nafasi ya 1 kwa mauzo na mapato nchini China.
Kama mnakumbuka kuna kipindi ilifanyika kampeni ya kushusha mauzo ya iPhone China ili kupandisha mauzo ya simu zinazotengenezwa huko, na kweli ilifankiwa lakini sasa meza zimegeuka.
Samsung haijawahi fanya vizuri China hivyo hiyo hata tusiizungumzie.
Kuna jamaa alisema
APPLE invented this amazing product called the iPhone and then built many services around it to make more money
Ilikuwa some sort of marketing technique ambayo design ilikuwa backed na serikali ambapo viongozi wa serikali walikuwa wakiappear wakiwa na simu za Huawei, walifanikiwa kuiganya huawei kuwa premium brand kwa watu na mauzo yaliongezeka sana China iPhone mauzo yake yalianguka ukijumlisha na vita ya kiuchumi inayoendelea baina ya US na ChinaMkuu hivi hiyo kampeni ya kushusha mauzo ya iphone yaliyanyika katika njia ipi?
Labda kama sijakuelewa mkuu ila me sioni kama hiyo campaign inaweza kufanya mauzo ya iphone yapungue kisa Wafanyakazi wa government kutumia HuaweiIlikuwa some sort of marketing technique ambayo design ilikuwa backed na serikali ambapo viongozi wa serikali walikuwa wakiappear wakiwa na simu za Huawei, walifanikiwa kuiganya huawei kuwa premium brand kwa watu na mauzo yaliongezeka sana China iPhone mauzo yake yalianguka ukijumlisha na vita ya kiuchumi inayoendelea baina ya US na China
Ilikuwa marketing stratergy ya kuipandisha chinese brand. Watu hawanunui vitu kwasababu ni bora, wananunua vitu nao wajione they belong to a certain social classLabda kama sijakuelewa mkuu ila me sioni kama hiyo campaign inaweza kufanya mauzo ya iphone yapungue kisa Wafanyakazi wa government kutumia Huawei
Na kama kumbukumbu zangu ziko vizuri wakati mauzo ya iphone yanashiuka ni Xiaomi ndio aliongoza sa Kwanini isiwe Huawei kama wao ndio waliungana na government kuandaa campaign
Me nachoona ni kwamba upinzani umeongezeka kutokana na simu za kichina kuwekeza zaidi katika simu za midrange zenye ubora Mkubwa sana, maana uwezo wa wateja wengi wa simu ni midrange na sio Flagship
Mkuu hivi wewe unaishi na wafanyakazi wa serikali wangapi katika mazingira yanayokuzunguka?Ilikuwa marketing stratergy ya kuipandisha chinese brand. Watu hawanunui vitu kwasababu ni bora, wananunua vitu nao wajione they belong to a certain social class
hiyo huawei ndio android pekee unayotumia!!!!iPhone simu broo, ukitoa Huawei hakuna mpinzani mwingine wa iPhone
China ni tofauti na sisi, serikali yao ina influence kwa maisha ya watu kuliko sisi.Mkuu hivi wewe unaishi na wafanyakazi wa serikali wangapi katika mazingira yanayokuzunguka?
Kwa uelewa wangu mdogo wafanyakazi wa Government hawawezi kuzidi ata 10% ya country population, Kwahiyo ni ngumu sana Kwa wao kufanya Eti raia washawishike kununua simu wanazotumia wao
Na wafanyakazi wa serikali ndio wanaongoza Kwa kuchukuliwa poa kuanzia kwenye life style zao Hadi vitu wanavyomiliki, Kwahiyo ata kama ilikuwa campaign ila nahisi haikufanikiwa
Bado hamjanishawi kununua simu yoyote tofauti na Oppo aiseee...[emoji847]hiyo huawei ndio android pekee unayotumia!!!!
simu za android nyingi ni kali sana,ila hakuna yenye sifa za jumla kuizidi samsung.
Simu yako ya kwanza kumiliki ilikua simu Gani mkuu? Maana unaonekana ni kijana sana kusema hiyo kauliBado hamjanishawi kununua simu yoyote tofauti na Oppo aiseee...[emoji847]