Wafate kivipi wakati wanazitumia tangu kitambobila shaka na akina tecno watafuata
HatarTetesi toka kwa Ming-Chi Kuo kuanzia 2023 apple ataanza kutumia USB type C.
Inawezekana ikawa ni shinikizo toka jumuiya ya Ulaya ikitaka makampuni yote ya simu yatumie standard moja ya kucharge.
Mueleweshe kwanza afahamu type C ni nini unamvuruga kichwawafate kivipi wakati wanazitumia tangu kitambo
Tecno gani inatumia Type C?????????Wafate kivipi wakati wanazitumia tangu kitambo
TECNO PHANTOM 6Tecno gani inatumia Type C?????????
Labda hizo maana haya matecno na mainfinix nazoziona huku mtaan najua ni Usb tu za kawaida aka za KitochiTECNO PHANTOM 6
Nope ulaya Wamesepa Ili kupunguza uchafuzi wa mazingira ni lazima divice zote za electronic nitumie USB CAndroid nyingi zinatumia usb c, iphone kaona ahamie tu nae huku
Yes by 2023 EU no chaja tofauti na type 3C naona bora wangeanza tu mwaka huu.Tetesi toka kwa Ming-Chi Kuo kuanzia 2023 apple ataanza kutumia USB type C.
Inawezekana ikawa ni shinikizo toka jumuiya ya Ulaya ikitaka makampuni yote ya simu yatumie standard moja ya kucharge.