Tetesi: Apple kuanza kutumia USB Type C

Tetesi: Apple kuanza kutumia USB Type C

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496
Tetesi toka kwa Ming-Chi Kuo kuanzia 2023 apple ataanza kutumia USB type C.

Inawezekana ikawa ni shinikizo toka jumuiya ya Ulaya ikitaka makampuni yote ya simu yatumie standard moja ya kucharge.
 
Android nyingi zinatumia usb c, iphone kaona ahamie tu nae huku
 
Tetesi toka kwa Ming-Chi Kuo kuanzia 2023 apple ataanza kutumia USB type C.

Inawezekana ikawa ni shinikizo toka jumuiya ya Ulaya ikitaka makampuni yote ya simu yatumie standard moja ya kucharge.
Hatar
Screenshot_20220512-015841_Twitter.jpg
 
EU wamewakalia kooni but uzuri wa apple huwa wanakuwa late Kwenye party ila wakija wana ua Kwenye implementation
 
Walishaanza tayari na vipogwo madukani.. uzuri wa kununua vipywa ni kujua mengi.
 
Tetesi toka kwa Ming-Chi Kuo kuanzia 2023 apple ataanza kutumia USB type C.

Inawezekana ikawa ni shinikizo toka jumuiya ya Ulaya ikitaka makampuni yote ya simu yatumie standard moja ya kucharge.
Yes by 2023 EU no chaja tofauti na type 3C naona bora wangeanza tu mwaka huu.
 
Back
Top Bottom