Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Apple inaonekana kutengeneza mfumo mpya unaoitwa βApple Reference Imageβ ambao unaweza kusaidia kuthibitisha kwamba picha fulani ilipigwa moja kwa moja na kamera ya iPhone. π€―
Katika dunia ambayo AI inaweza kutengeneza picha zinazofanana kabisa na uhalisia, Apple inataka kuweka uthibitisho wa chanzo cha picha β badala ya kubahatisha tu kama picha ni ya AI au la. π€πΈ
Hii inaweza kuwa game changer kwa waandishi wa habari, wapiga picha, ushahidi wa matukio na matumizi ya kila siku. π
Je, ungependa iPhone yako iwe na uwezo wa kuthibitisha kwamba picha ni ORIGINAL? ππ₯