Apple inaonekana kutengeneza mfumo mpya unaoitwa βApple Reference Imageβ ambao unaweza kusaidia kuthibitisha kwamba picha fulani ilipigwa moja kwa moja na kamera ya iPhone. π€―
Katika dunia ambayo AI inaweza kutengeneza picha zinazofanana kabisa na uhalisia, Apple inataka kuweka uthibitisho wa chanzo cha picha β badala ya kubahatisha tu kama picha ni ya AI au la. π€πΈ
Hii inaweza kuwa game changer kwa waandishi wa habari, wapiga picha, ushahidi wa matukio na matumizi ya kila siku. π
Je, ungependa iPhone yako iwe na uwezo wa kuthibitisha kwamba picha ni ORIGINAL? ππ₯
Hawa wameanza sasa kuishiwa ubunifu; ni kama Disney, cartoon zao hazina jipya siku hizi, hazina ubunifu. Toka wametoa COCO, hawana jipya. Wenzao Samsung wanataka kuja earpods zenye surveillance camera na hearing aid.