Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Siwezi sikiliza airpods hazina bass...
Nina earphones kali zenye bass na nina headphones nzuri sana zina bass haswaa
Mm napenda mziki sana chief npo radhi nifanye vibarua wiki nzima mpaka weekend ili tu nitafute hela ya headphones nzuri
Ukiskiliza nachoskiliza mimi kwenye simu yangu hakitofautiani na mziki wa gari uliosukwa kikamilifu na vifaa vyote muhimu. Kama ushasikia mziki wa Sony Xplod au Pioneer ndio nachoskiliza kupitia hizia Airpods na Selenium player.
 
Maunyama sana
Hii sehemu unaweza ku Scratch kama dj na ku rollback mapigo ya mziki au kuyapeleka mbele.
Screenshot_20230508-233547.png
 
Back
Top Bottom