Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Siwezi sikiliza airpods hazina bass...
Nina earphones kali zenye bass na nina headphones nzuri sana zina bass haswaa
Mm napenda mziki sana chief npo radhi nifanye vibarua wiki nzima mpaka weekend ili tu nitafute hela ya headphones nzuri
Ukiskiliza nachoskiliza mimi kwenye simu yangu hakitofautiani na mziki wa gari uliosukwa kikamilifu na vifaa vyote muhimu. Kama ushasikia mziki wa Sony Xplod au Pioneer ndio nachoskiliza kupitia hizia Airpods na Selenium player.
 
Iko njema kweli ila Equalizer yake sio powerful. Nayotumia Selenium inataka fanana na Poweramp ila sound reproduction yake ni nzuri zaidi hasa ukijua kucheza na Equalizer.
Mkuu Hii Selenium ni free?
Sisi watumiaji wa earpod za 10k hatuna pesa za kulipia hiyo poweramp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…