Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Binafsi sijawahi kuikubali product yoyote ya JBL, I don't know why itakuwa labda nimekutana na fake zake maana ni nyingi mnoo.
 
Bei yake inazidi 20k?

Niambie kama haizidi Jmosi nikienda Kariakoo nikachukue.

Halaf jana nilikua K.koo walitaka kunipiga, nilipewa earpods hazina label yoyote zinauzwa 15k. Nikaachana nazo.
Yah ni 28K kwenye site ila jamaa Snapdragon 8 kasema yeye alinunua 25K.

Hahahaha! hamna kitu ninachochukia kama kupigwa bora ulivoachana nazo ,maana hizo ukiingia kichwa kichwa unapigwa kizembe.
 
Binafsi sijawahi kuikubali product yoyote ya JBL, I don't know why itakuwa labda nimekutana na fake zake maana ni nyingi mnoo.
Tatizo mnashindwa kutofautisha kati ya fake na OG ni vile ujuaji mwingi na mnapigwa vizuri kabla ujanunua hizi bidhaa fatilia vizuri ujue og ipoje fake ipoje OG ikiwaka Tu unajua iki chenyewe

Sent from my Pixel 4 XL using JamiiForums mobile app
 
Binafsi sijawahi kuikubali product yoyote ya JBL, I don't know why itakuwa labda nimekutana na fake zake maana ni nyingi mnoo.
🤣 Yeah huenda ni fake shit kichele umekutana nazo.
 
Tatizo mnashindwa kutofautisha kati ya fake na OG ni vile ujuaji mwingi na mnapigwa vizuri kabla ujanunua hizi bidhaa fatilia vizuri ujue og ipoje fake ipoje OG ikiwaka Tu unajua iki chenyewe

Sent from my Pixel 4 XL using JamiiForums mobile app
Na ndio maana huwa sishoboki na majina pupular..sijui Apple sijui nini sababu najua kibongobongo hizo products nyingi ni fake. Nikiangalia bei ya JBL nchi za watu nazinavyouzwa hapa Bongo nina uhakika nyingi hapa ni fake, same applies to Apple Airpods bei ya OG na hizo za 65k unajua kabisaa hizo ni fake.
 
Umeona hio logo mzee nazani bado ujazijua hizi brand JBL ,okyo,wonderboom,Anker,Bose,pioneer,Sony,JVC

Nikuletea Bose copy na OG Nina uhakika huwezi tofautisha

Sent from my Pixel 4 XL using JamiiForums mobile app
Mkuu sikubishii ila nikuwa nakwambia hizo nyingi ni fake na wanaoshoboka na hayo majina wanapigwa sanaa. Sababu hata wanaoleta OG ni wachache sana. Ni kama simu tu nyingi ni fake na Refurbished.
 
shida sio wewe kutoa 65k,shida ni kutaka kuona maajabu kwa hii 65k uliyolipia.

kwa 65k hushauriwi kununua kifaa ambacho kina jina tayar,lazima utaangukia pua tu,nuni brand zisizo na majina kama oraimo,raino,nk.toka lini earpods zikauzwa bei hii??labda mtu kazichoka zake za mwaka juzi kaamua akuachie kwa bei hiyo.
 
Binafsi sijawahi kuikubali product yoyote ya JBL, I don't know why itakuwa labda nimekutana na fake zake maana ni nyingi mnoo.

epuka sana vitu fake,haka na udogo wake kanatoshana na kopo la kiwi,ni zaidi ya 150k za kibongo ila kakiwaka tu ule muungurumo wake utakubali kama kitu ndani yake[emoji28]
 
JBL mchina anazifyatua like a Joke. Sio vitu vya kuuzwa kizembe K. Koo. Ukitaka kupata JBL Original labda itokee Marekani kuja huku
 
Tudwii (Ina deep base sound) [emoji91]

alikuja jamaa sehem amekafungia kwenye holder yake kiunoni hakaonekani,tunasikia mziki tu[emoji3][emoji3],jamaa yangu pembeni akaniuliza huu mziki kwa jamaa unatoka wapi???nikamwambia kwenye hako ka kikoba hapo kiunoni,halafu nikagoogle hii picha,hakuniamini kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…