Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Ngja nijikusanye maana zinauzwa bei sana approximately 50k
Za Oraimo au ?Airpods pro 3 na 4 zote wiki hii nimejarbu kwa mara nyingine tena...
Hamna base mule kwa wanaopenda mziki mzuri hawatumii hizo pods
Bado sijapata wireless earbuds zinazokita
Za Oraimo au ?Airpods pro 3 na 4 zote wiki hii nimejarbu kwa mara nyingine tena...
Hamna base mule kwa wanaopenda mziki mzuri hawatumii hizo pods
Bado sijapata wireless earbuds zinazokita
Kama hupend base ni nzuri kwako hizoZa Oraimo au ?
Je Quality ya sound ipo vipi ?maana mimi sina shida na base sio mtu wa miziki.
Nataka nikachukue Oraimo freepod lite .Mimi charge ikiwa poa na quality nzuri ya sound inakuwa good sana kwa matumizi yangu.K
Kama hupend base ni nzuri kwako hizo
AseeWakuu nimepurchase airpods pro orginal hii kitu inagonga aisee halafu nimelipia apple music yani napata ile ladha halisi ya muziki na apple music wananiletea na dobly vision kabisa muziki unaskia kila chombo kinachogonga aiseee[emoji114][emoji114] mpaka vimenifikia nimepasuka 260k ila mziki wake hujutii charge 22hrs unapigilia tu mangomaView attachment 2754909
Wakuu nimepurchase airpods pro orginal hii kitu inagonga aisee halafu nimelipia apple music yani napata ile ladha halisi ya muziki na apple music wananiletea na dobly vision kabisa muziki unaskia kila chombo kinachogonga aiseee[emoji114][emoji114] mpaka vimenifikia nimepasuka 260k ila mziki wake hujutii charge 22hrs unapigilia tu mangomaView attachment 2754909
Asee
My man
Ukipitia youtube wanasema kujua kati ya fake na og ni ngumu kuanzia package hadi sound tofauti ni ndogo sana tena kwa mtu makini...so unaweza nunua kitu fake kwa bei ya og...ninazo kama zako ila ni mchina....anatwangwa hatareee.. na huyu mchina version tofauti tofauti kulingana na mfuko wakoWakuu nimepurchase airpods pro orginal hii kitu inagonga aisee halafu nimelipia apple music yani napata ile ladha halisi ya muziki na apple music wananiletea na dobly vision kabisa muziki unaskia kila chombo kinachogonga aiseee[emoji114][emoji114] mpaka vimenifikia nimepasuka 260k ila mziki wake hujutii charge 22hrs unapigilia tu mangomaView attachment 2754909
Ukipitia youtube wanasema kujua kati ya fake na og ni ngumu kuanzia package hadi sound tofauti ni ndogo sana tena kwa mtu makini...so unaweza nunua kitu fake kwa bei ya og...ninazo kama zako ila ni mchina....anatwangwa hatareee.. na huyu mchina version tofauti tofauti kulingana na mfuko wako
Bei gani hii mkuuView attachment 2809084aiseee JBL kwenye mziki mnene wana balaaa ...hii kitu inapiga mziki aise
65k ila mm nilizitaifisha mahaliBei gani hii mkuu
Zina bass nzuri ?
Sjawah kupata earpods zenye bass
Zina bass nzuri ?
Sjawah kupata earpods zenye bass
Tafuta hiziView attachment 2871269
Pods by Anker: SOUNDCORE LIBERTY AIR 2 PRO
Weka bei