Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Game sio specification, inabidi kuwepo na tech husika kusuport hizo games. Kina Microsoft, Nvidia, Amd na hata intel sasa hivi wapo busy kila siku kutoa vitu vipya kusaidia Games, Dlss, Fsr, Ray Tracing, Vulkan, DX12 na mambo mengine kibao. Apple wala hana time na Games.Wata Anza kuzitoa coz
Mac kipindi cha nyuma walikuwa hawajawekeza Sana kwenye heavy duty computer machine
Jaribu Ku check device wanazotoa Sasa iviGame sio specification, inabidi kuwepo na tech husika kusuport hizo games. Kina Microsoft, Nvidia, Amd na hata intel sasa hivi wapo busy kila siku kutoa vitu vipya kusaidia Games, Dlss, Fsr, Ray Tracing, Vulkan, DX12 na mambo mengine kibao. Apple wala hana time na Games.
Uziri wa Mac pro unaweza UKa upgrade kila kituMkuu Mac pro una upgrade hadi GPU.
Does the M2 Ultra Mac Pro Support Discrete GPUs?
Why does Apple's latest Mac Pro drop support for discrete GPU cards? And can it really be considered a "Pro" tower without it?www.owc.com
Core i9 Gen 13 Zaidi ya 2ml ππ hii ndio ya kisasa zaidiCore i9 gen ya 10 sasa hivi sh ngapi?
Adjust for inflation itakua kwenye 7m by thenBado itakuwa thamani yake haijaporomoka saaaana, hutoipata kwa laki 5 wala 8 ππ€£, imeshuka bei utasikia milioni 3-5
Na u assume kama waga hutawahi kukutana na shida ya kiuchumi hapo baadae yaani ujione wewe ni mwamba unakwenda kuspend pesa ndefu kwenye kitu unachotaka..Kumiliki vitu vizuri mpaka ujitoe akili
Hahahaha ukiwaza kununua kitu cha mfano milioni 2 unawaza kiwanja hamu inapotea kabisaKumiliki vitu vizuri mpaka ujitoe akili