Apple (tunda) za kutoka Afrika Kusini kwanini haziendelei kuiva au kuharibika

Apple (tunda) za kutoka Afrika Kusini kwanini haziendelei kuiva au kuharibika

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,001
Reaction score
1,430
Nimenunu tunda la apple la rangi ya nyekundu, ni siku ya tano sasa haliendelei kuiva wala kuharibika.

Ni teknologia gani inatumika kufanya haya matunda kutoka kwa mzee madiba kuacha kuharibika licha ya kukaa muda mrefu
 
Litaharibika ila litachukua muda , kubusu kuiva inategemea , apple zina kabila kama yalivyo maembe , dodo ,bolibo etc, kama hayo mekundu yanaitwa gala, kuna golden yenyewe yanakuwa kama na njano fulan na kuna yale ya kijani.
Food engeneering at its best , ndo maana hata mbegu zake ni dormanf , hazioti
 
Nimenunu tunda la apple la rangi ya nyekundu, ni siku ya tano sasa haliendelei kuiva wala kuharibika.

Ni teknologia gani inatumika kufanya haya matunda kutoka kwa mzee madiba kuacha kuharibika licha ya kukaa muda mrefu
Kuiva zaodi ta pale? Apple ni kama pears sasa utasema Pears iendelee kuiva?
 
Matunda yanayosafirishwa kwenda nchi nyingine huwa yanapigwa dawa za kuchelewesha ile hatua ya kuiva (wanatumia growth regulators)
 
Nimenunu tunda la apple la rangi ya nyekundu, ni siku ya tano sasa haliendelei kuiva wala kuharibika.

Ni teknologia gani inatumika kufanya haya matunda kutoka kwa mzee madiba kuacha kuharibika licha ya kukaa muda mrefu
Siyo asili lina andaliwa kwa dawa ili liweze kuish maisha marefu
 
Mtoa maada, hapa bongo(wilaya ya njombe) tu, Apple zinaharibika Sana msimu wake ukifika.
Hizo za south Africa huwa wanapulizia dawa ya kuchelewesha kuiva/kuoza. Hata likioza halina waduudu wengi ukilinganisha na lililoko plain.
 
Back
Top Bottom