Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Jana kwenye WWDC 2026 Apple wamezindua iOS 27, macOS 27 Golden Gate, iPadOS 27, na watchOS 27.
iOS 27 itakua supported na simu zote kuanzia iPhone 11 kuja juu.
iPadOS 27 itakubali kwenye iPad Mini (6th gen) pamoja na Mini yenye A17 Pro kuja juu.
macOS 27 kuanzia Macbook “nyingi” za 2020 kuja juu.
watchOS 27 kuanzia Apple Watch SE 3 na Apple Watch 9 kuja juu.
Kuhusu Apple Intelligence itasupport kuanzia iPhone 15 Pro kuja juu. Kwahiyo iPhone 15 base kushuka chini haina.