Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Apple Leo wamezindua models mpya ya MacBook Pro, kwa mara ya kwanza zikija na vioo vya OLED na kussuport touch screen.
Mbali na kua touchscreen, kioo pia kina Dynamic Island , kama tunayoiona kwenye iPhone 14 Pro kuja juu, ila Bado hai support Face ID, utaendelea kutumia Touch ID.
Kwa muonekano zimebadirika, ila Bado zinatumia M5 na M5 Max chip, kama MacBook Pro za sahivi. Kwa laugha nyepesi, Pro hazitumii Bado M6 na M6 Max.
MacBook Pro mpya zinaanzia $2,900 kwa size ya 14-inch, zenye M5 Pro chip na kwa size 16-inch $3,400.
Kwa Chip za M5 Max, Bei zake no $4,500 na $4,900. Bei zote bila kodi.