Apple wanarudi walipotoka Android

Android sikuzote si tam kutumia, ni kama vile wako kwenye marobort
iphone 6 ni tam kutumia kulko ata s22 kwa smoothness
Japo tunanunua simu zaidi ya milion 1 na nusu ila simu pekee yenye hadhi ya bei hyo ni iphone pekee
Iphne 6 Ni tecno h5 yenye rangi nyeupe nyeupe
 
mkuu unaijua s22 au umeisikia kwa watu[emoji28][emoji28][emoji28]

embu muombe aliyekupa uitizame mwambie akutolee na lock.
iphone 6 ipambanishe na s5 huko maana hata s6 bado haziendani.
Kuna binadamu wana masihara sana...s22 unaiweka kapu moja na iphone6.?!..mimi iphone6 siwezi kutumia hata nikipewa bure
 
Sitakaa nitumie iphone.....kwangu huo ni uchafu....au niseme gereza lenye sifa za kijinga! Hela nyingi halafu hakuna uhuru kabisa zaidi ya jina kubwa!

Depends na taste yako ya simu. Kila mtu ana mahitaji different ya simu. Some wanapenda flexibility wengine wanapenda securtiy and speed. Ni ww unataka kipi
 
acha kulinganisha uchafu na tunda.
Teknolojia ikimpita ila akileta apple unaweza kujua kaanza yeye.
Android zilikuja na fingerprint ila alipokuja apple utazani ndio yeye muanzilishi.

Android zilikuja na faceid ila alipokuja apple utazani ndio mwanzilishi.

iphone akitengeneza kitu unaweza kujua ndio mwanzilishi.
 



Android si mfumo wa kwanza kuja na finger print. Toshiba g500 na 6500
Zikiwa zina run window os ndio simu ya kwanza kuja na finger print. The baadae motorola atrix.
 
Na wamesema wanataka kutumia type C charging system
Hii ni sheria imepitishwa na umoja wa ulaya so hawana jinsi na pia sheria nyingine iliyopitishwa ni kuwalazimisha waruhusu 3rd part stores. So, hapo hawana namna lazima watii otherwise bidhaa zao haziwezi kuuzwa huko
 
Mkuu uliipata OnePlus 9pro? Niko naitafuta hapa mpya bila mafanikio nipe chimbo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…