Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,475
- 5,290
Kipi unachokifanya na Tecno yako wa Apple hawezi kukifanya?Apple ni gereza la ufahari, mtumiaji wake ni mfungwa anayeringa kuishi kifahari. Ni lazima Apple arudi kufanana na android ili aendelee kubakia sokoni.