mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
sibishani nawewe lakini kwa namna maisha yalivyo ya kijinga,wacha tu watu wafurahie wanavyoweza.Ulimbukeni tu, yani kila siku unaendeshwa na manunuzi ya bidhaa mpya kisa fasheni,
MFANO;
kampuni ya simu imewekeza kuleta matoleo mapya ya simu kila baada ya miaka miwili kwa miaka 100 mbele, inamaana wewe Mteja ndiye mtumwa wa kipumbavu kuteseka ilihali kampuni ya simu ni kupiga pesa kede kede.... [emoji3]
Japo hatupangiani maisha lakini kila jambo ni heri lifanywe kwa kiasi [emoji23]
mtu ana uwezo wa kununua iphone ajisikie raha,wacha anunue,huwenda akinunua boxer ikamnyonge.