sibishani nawewe lakini kwa namna maisha yalivyo ya kijinga,wacha tu watu wafurahie wanavyoweza.Ulimbukeni tu, yani kila siku unaendeshwa na manunuzi ya bidhaa mpya kisa fasheni,
MFANO;
kampuni ya simu imewekeza kuleta matoleo mapya ya simu kila baada ya miaka miwili kwa miaka 100 mbele, inamaana wewe Mteja ndiye mtumwa wa kipumbavu kuteseka ilihali kampuni ya simu ni kupiga pesa kede kede.... [emoji3]
Japo hatupangiani maisha lakini kila jambo ni heri lifanywe kwa kiasi [emoji23]
Tafuta hela uache makasirikoKUNA WATU HUKO HATA VIDONDA VYA KWA MPALANGE HAVIJAPONA
View attachment 2329220
X yenyew old-school tayari,sio kwa zile mAhAfu bado watu wanatumia 6-8
Kwanini wasisogee hadi X?
Ngoja nitafute hela nivute hata 12
Kabla huku Bongo hazijaja 13 plus original wanazindua toleo jingine.
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Wabongo wenye iphone 13 plus karibu zote ni refurbished
Jinsia?Afu bado watu wanatumia 6-8
Kwanini wasisogee hadi X?
Ngoja nitafute hela nivute hata 12
Watu ujuaji mwingi mkuu ππiPhone 13 plus ni simu gani mkuu??
Jibu zuriUsikimbizane na fashion. Kama 6-8 inakidhi mahitaji yako endelea kutumia.
Used from Dubai [emoji16][emoji16][emoji16]Kabla huku Bongo hazijaja 13 plus original wanazindua toleo jingine.
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Wabongo wenye iphone 13 plus karibu zote ni refurbished
6 zipo mtaani sana na wenyewe wanajiita iphne userπHata hiyo X bado ni outdated sana
Sawa Sasa ndo washike kwa dala dala? Hawataki weka mfukoni wanageuza upande tuone apple 6Kama una matumizi nayo hata special odder from apple ni sawa. Kwa maoni yangu, Ni ujinga kuwa na kitu cha gharama huku huna matumizi nacho sababu ya fashion. Ila hayo ni maoni still unaweza kupambana na fashion kama upendavyo bila kupangiwa.
π πSawa Sasa ndo washike kwa dala dala? Hawataki weka mfukoni wanageuza upande tuone apple 6