Ukijibiwa ni taggWakuu anayefahamu ni app gani naweza kuangalia game zote za kombe la dunia anijuze
Nilitaka kudownload Azam shida na yenyewe unalipia,nataka app ambayo haulipii..[emoji1374][emoji1374]
Kuna links za twitter huwa zinazagaa zagaa jaribu kufatiliaDah mkuu hiyo yassine Tv nimemaliza gb 2 kuangalia match moja[emoji174]
Pakua app moja wapo ya hzo za mpiraWakuu anayefahamu ni app gani naweza kuangalia game zote za kombe la dunia anijuze
Nilitaka kudownload Azam shida na yenyewe unalipia,nataka app ambayo haulipii..[emoji1374][emoji1374]
Yacine TvWakuu anayefahamu ni app gani naweza kuangalia game zote za kombe la dunia anijuze
Nilitaka kudownload Azam shida na yenyewe unalipia, nataka app ambayo haulipii..[emoji1374][emoji1374]
Sababu ni HD... Uzuri ina option ya resolution... So chagua resolution ndogo ili kubana ulaji wa bandoDah mkuu hiyo yassine Tv nimemaliza gb 2 kuangalia match moja[emoji174]
Ulichagua video quality ipi?Dah mkuu hiyo yassine Tv nimemaliza gb 2 kuangalia match moja[emoji174]