'Application' gani naweza kuangalia mechi zote Kombe la Dunia?

'Application' gani naweza kuangalia mechi zote Kombe la Dunia?

Aelknes

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
246
Reaction score
603
Wakuu anayefahamu ni 'application' gani naweza kuangalia michezo yote za Kombe la Dunia anijuze. Nilitaka kupakua Azam shida na yenyewe unalipia, nataka 'application' ambayo haulipii. [emoji1374][emoji1374]
 
Wakuu anayefahamu ni app gani naweza kuangalia game zote za kombe la dunia anijuze

Nilitaka kudownload Azam shida na yenyewe unalipia,nataka app ambayo haulipii..[emoji1374][emoji1374]
Ukijibiwa ni tagg
 
Screenshot_20221121-215306_One UI Home.jpg
 
Wakuu anayefahamu ni app gani naweza kuangalia game zote za kombe la dunia anijuze

Nilitaka kudownload Azam shida na yenyewe unalipia,nataka app ambayo haulipii..[emoji1374][emoji1374]
Pakua app moja wapo ya hzo za mpira
 
Wakuu anayefahamu ni app gani naweza kuangalia game zote za kombe la dunia anijuze

Nilitaka kudownload Azam shida na yenyewe unalipia, nataka app ambayo haulipii..[emoji1374][emoji1374]
Yacine Tv
 
Dah mkuu hiyo yassine Tv nimemaliza gb 2 kuangalia match moja[emoji174]
Sababu ni HD... Uzuri ina option ya resolution... So chagua resolution ndogo ili kubana ulaji wa bando
 
Back
Top Bottom