Application Users Vs Browser Users

Application Users Vs Browser Users

Davet

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
42,445
Reaction score
205,933
Tunaingia humu JF kwa kutumia hizo njia mbili embu tuambie wewe unatumia ipi kati ya hizo?

Muambie mtu ambae hatumii njia yako vitu ambavyo vinakukera na vinavyo kuvutia zaidi katika njia yako...

Kuna sehemu niliona mtumiaji wa Browser akimuambia mtumiaji wa App kwamba App wanatumia wazee 😀...

COVID 19 ipo tujikinge kwa kufuata ushauri tunaopewa na wataalamu
 
Hakuna changamoto yoyote kwa anayetumia browser

Notifications on time,inaeleweka,unaweza kuedit ulichoandika(sina uhakika kama APP unaweza kuedit siku hizi),namna ya kutag kwa browser haiko complicated,bold,italic na mazaga zaga mengine yapo huku kwenye browser na ni rahisi mno kuyaapply

Browser haiachi ushahidi wa kwamba unatumia JF(mtu akishika simu yangu hawezi kujua kama hata naijua JF) kwasababu sina APP ya JF
 
Changamoto kubwa kwenye Application ni kuchelewa kwa notification unakuta nmemtukana mtu lakini sioni kajibu nini ili tugombane vuzuri .

Alafu ni kweli tunaotumia app wengi age imesonga kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu,hamia kwenye browser

Huku ukitukana mtu akikujibu unaona pale pale.....raha ya ugomvi uwe active kwenye kujibu mapigo
 
Changamoto kubwa kwenye Application ni kuchelewa kwa notification unakuta nmemtukana mtu lakini sioni kajibu nini ili tugombane vuzuri .

Alafu ni kweli tunaotumia app wengi age imesonga kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! Wazee wa kusubiri Pension wengi wao wamekuwa na haya malalamiko ya kutopata Notifications, karibu kwenye browser hayo majanga utayasikia tu kwa wengine
 
natumia zote mbili App na browser
sana sana napendelea kutumia App maana ni user friendly kuhusu kupata notification nazama kweny browser nazipata kwa wakati ila kwa namna yoyte ile ap n nzuri zaid kulinganisha utumiaji wa browser ambapo naona kuna kaugumu fulani especly kweny kupata nyuzi

Sent using Xiaomi Redmi Note7 Pro
 
Hakuna changamoto yoyote kwa anayetumia browser

Notifications on time,inaeleweka,unaweza kuedit ulichoandika(sina uhakika kama APP unaweza kuedit siku hizi),namna ya kutag kwa browser haiko complicated,bold,italic na mazaga zaga mengine yapo huku kwenye browser na ni rahisi mno kuyaapply

Browser haiachi ushahidi wa kwamba unatumia JF(mtu akishika simu yangu hawezi kujua kama hata naijua JF) kwasababu sina APP ya JF
Umemaliza kila kitu J 🙌

Watumiaje wa App kilio chao kikubwa kila siku ni kutopata notifications lakini hawataki kuhama huko sijui wana vitu gani vingine vya maana?

Pia sijui kama na wao wana option ya kudislike, like, love, wow!
 
Kuna ubaya mtu akijua unatumia jf?
 
Umemaliza kila kitu J 🙌

Watumiaje wa App kilio chao kikubwa kila siku ni kutopata notifications lakini hawataki kuhama huko sijui wana vitu gani vingine vya maana?

Pia sijui kama na wao wana option ya kudislike, like, love, wow!

Hahahhah hiyo sijui nilisahauje

Huku kwenye browser mtu akizingua unadislike tu 😂
 
Browser ni nzuri sana kwangu na sijawah kwazika kwa lolote lile. Kila notification napata mana kwenye site setting kuna kipind niliruhusu hivyo sikua napitwa na chcht kile. Ila niliondoa mana notifications zinajipanga nying sana kweny screen, nikaamua niwe natumia notification ya kwenye browser moja kwa moja yan ile iliyo kama kengele kwa juu kbs..

Hawa wa app wanapendelea ile scrolling jins ilivyo mana inakua nyepes wakati huku kwenye browser tunaenda kwa pages...ila hiki siyo kikwazo..

Kinachokera kwenye browser ni ban mana wanafunga kila kitu mpk utumie utundu mwngn ndy utaeza ku-access
 
Browser ni nzuri sana kwangu na sijawah kwazika kwa lolote lile. Kila notification napata mana kwenye site setting kuna kipind niliruhusu hivyo sikua napitwa na chcht kile. Ila niliondoa mana notifications zinajipanga nying sana kweny screen, nikaamua niwe natumia notification ya kwenye browser moja kwa moja yan ile iliyo kama kengele kwa juu kbs..

Hawa wa app wanapendelea ile scrolling jins ilivyo mana inakua nyepes wakati huku kwenye browser tunaenda kwa pages...ila hiki siyo kikwazo..

Sure thing mimi napenda app kwa ajili ya scrolling kwny thread lakini browser ni nzuri zaidi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom