Changamoto kubwa kwenye Application ni kuchelewa kwa notification unakuta nmemtukana mtu lakini sioni kajibu nini ili tugombane vuzuri .
Alafu ni kweli tunaotumia app wengi age imesonga kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! Wazee wa kusubiri Pension wengi wao wamekuwa na haya malalamiko ya kutopata Notifications, karibu kwenye browser hayo majanga utayasikia tu kwa wengineChangamoto kubwa kwenye Application ni kuchelewa kwa notification unakuta nmemtukana mtu lakini sioni kajibu nini ili tugombane vuzuri .
Alafu ni kweli tunaotumia app wengi age imesonga kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza kila kitu J πHakuna changamoto yoyote kwa anayetumia browser
Notifications on time,inaeleweka,unaweza kuedit ulichoandika(sina uhakika kama APP unaweza kuedit siku hizi),namna ya kutag kwa browser haiko complicated,bold,italic na mazaga zaga mengine yapo huku kwenye browser na ni rahisi mno kuyaapply
Browser haiachi ushahidi wa kwamba unatumia JF(mtu akishika simu yangu hawezi kujua kama hata naijua JF) kwasababu sina APP ya JF
Kuna ubaya mtu akijua unatumia jf?Hakuna changamoto yoyote kwa anayetumia browser
Notifications on time,inaeleweka,unaweza kuedit ulichoandika(sina uhakika kama APP unaweza kuedit siku hizi),namna ya kutag kwa browser haiko complicated,bold,italic na mazaga zaga mengine yapo huku kwenye browser na ni rahisi mno kuyaapply
Browser haiachi ushahidi wa kwamba unatumia JF(mtu akishika simu yangu hawezi kujua kama hata naijua JF) kwasababu sina APP ya JF
Umemaliza kila kitu J π
Watumiaje wa App kilio chao kikubwa kila siku ni kutopata notifications lakini hawataki kuhama huko sijui wana vitu gani vingine vya maana?
Pia sijui kama na wao wana option ya kudislike, like, love, wow!
Haupo ubayaKuna ubaya mtu akijua unatumia jf?
Kama Age haijasogea sana karibu kwenye browserSwala la notification ni mtihani kwa kweli hadi nshaanza kuichukia hii app
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππHahahhah hiyo sijui nilisahauje
Huku kwenye browser mtu akizingua unadislike tu π
Browser ni nzuri sana kwangu na sijawah kwazika kwa lolote lile. Kila notification napata mana kwenye site setting kuna kipind niliruhusu hivyo sikua napitwa na chcht kile. Ila niliondoa mana notifications zinajipanga nying sana kweny screen, nikaamua niwe natumia notification ya kwenye browser moja kwa moja yan ile iliyo kama kengele kwa juu kbs..
Hawa wa app wanapendelea ile scrolling jins ilivyo mana inakua nyepes wakati huku kwenye browser tunaenda kwa pages...ila hiki siyo kikwazo..