Jinga Wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chizi weee
Kama namuona mtoa mada atakavyoliaππSiku moderators wataunganisha kweye ule wa likes
Mwambie kd sio poa anavyofanya.Babe,we acha tu...Kd amenitelekeza huku porini, ameweka mgomo kunifataπ
#MissyouMuch
Usijali cha fujo karibu
Jamani,pole totooAkhsante
Nina allergy ya pua, Sasa hapa juzi Kati nilisafiri kwenye barabara ya vumbi ikawa Shida Zaidi.
Hsp wananipa dawa zao kila siku na sioni Kama zinanisaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]hadi nakosa cha kuandikaKwa miaka mingi zimekuwepo bila mafanikio kwahiyo mabadiliko yakifanyika sasa hivi unadhani nitaamini vipi jamani? [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu havina hata uhusiano
#chizisanawewe
Kwani bado mwenye hati miliki ya kwini hajajulikana??[emoji23][emoji23][emoji23]
Achana na muuza maua bado anabeef na mimi huyu
Amen, akhsanteJamani,pole totoo
Nakuombea ukae sawa.
Nina workmate yangu ako na same allergy,pole sana jamani
Nyuzi kama hizi wanapelekaga jukwaa la complaintsUzi ukiwa chit chat maandishi yanasomeka Kihindi kwamba Mods hawawezi kuelewa nini kinaongelewa?
Habari yako bhana?
π¨ torokaaNi Kweli, ila yule Jamaa nae kaamua kunifungia ndani nisije kwakoπ€
ππ eti mbeba mauaMwambie kd sio poa anavyofanya.
Inamaana na mbeba maua kakutelekeza?π€
Amepewa tu anti allergies(prednisolone,cetirizen na madude mengine).Amen, akhsante
Yeye anatumia dawa zipi?
Juzi kati nilitaka kuzimia usiku,nilikula vumbi barabarani ..using ikawa kasheshe [emoji134]
Yaani hapa Corona ikipita inanichukua[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app