My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
Ata akatae carbamazepine ni muuuguziMuuguzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata akatae carbamazepine ni muuuguziMuuguzi
Anauelewa wa huo ugonjwa
Nyingine hiiUna nasal polyps??
Hawajawahi kukupa spray??
😀😀 bora sindano kuliko dawa
Dah!Hizo nasal spray ninazo
Na Jana wamenipa hiyo
Nimezitumia Hadi basiView attachment 1441954
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]deep wapi na google tu hapaUko deep mshkaji wangu
Kweli Wewe carbamazepine
[emoji38][emoji38][emoji38]
I'm on that good kush and alcohol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii inaitwa asante google[emoji23]Anauelewa wa huo ugonjwa
Mmmmmmhhhh [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]deep wapi na google tu hapa
Kweli hiki ni kiwanda
Hahah!Hii inaitwa asante google[emoji23]
Majivu[emoji125][emoji125][emoji125]Mmmmmmhhhh [emoji38][emoji38][emoji38]
Anyway dawa ya kiungulia ni nini nisaidie ?? [emoji23]
I'm on that good kush and alcohol
Hatariiiiiii [emoji38][emoji38][emoji38]Majivu[emoji125][emoji125][emoji125]
Hii dawa haina ugumu wowote[emoji3][emoji3] bora sindano kuliko dawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli hiki ni kiwanda
Hii dawa haina ugumu wowote
Ni kupuliza tu puani
Pamoja na yote sijawahi kosa appetite ya kula[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah!
Pole dear
Duh! sauti yako yakubana kumbePamoja na yote sijawahi kosa appetite ya kula[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata nibanwe vipi.
Kuna clinic nilienda dkt akawa ananiambia itakuwa rangi zako za kucha hizo zinapelekea tatizo kuendelea nikamwambia hizi rangi nimepaka Jana tu, huna sipaki rangi,akasema itakuwa unakaa Kwenye vumbi, nikamwambia mazingira ninayoishi Ni masafi,akasema mashuka nikamwambia nabadilisha mara3 kwa wiki
Baadaye akanambia ooh usikate hizo nyama.. baadaye anasema Tena wanaoweza kukutibu kukukata Ni Benjamin dodoma,muhimbili na KCMC
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nilishasema pale juu Kama Ni allergy ya puaNajua nikuliza ya ugonjwa gani hutasemq [emoji19][emoji19]
I'm on that good kush and alcohol