Pamoja na yote sijawahi kosa appetite ya kula[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata nibanwe vipi.
Kuna clinic nilienda dkt akawa ananiambia itakuwa rangi zako za kucha hizo zinapelekea tatizo kuendelea nikamwambia hizi rangi nimepaka Jana tu, huna sipaki rangi,akasema itakuwa unakaa Kwenye vumbi, nikamwambia mazingira ninayoishi Ni masafi,akasema mashuka nikamwambia nabadilisha mara3 kwa wiki
Baadaye akanambia ooh usikate hizo nyama.. baadaye anasema Tena wanaoweza kukutibu kukukata Ni Benjamin dodoma,muhimbili na KCMC
Sent using
Jamii Forums mobile app