Application Users Vs Browser Users


Pia inategemea na aina ya simu unayotumia.

Kwa tecno naweza kuelewa ukitumia app.
 
Malalamiko meeeengi vitu vingine mmeshaambiwa simu zenu zina ya add, tuambie kwanza simu yako isijekuwa unasingizia tu browser 😊😂
 

Hiyo picha hapo ni kukanusha ulichosema kuwa kwenye browse huwezi kupata new post na new comments kutokaka majukwaa tofauti.
Yote uliyoyasema browse tunayo na zaidi ikiwa ni pamoja na kushare picha na video km hivyo, kuedit comment, kulike, kidislike, kuwow n.k.
Na niliwahi kusikia nyie wa app hamuwezi kutizama videos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…