Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Tafsiri ya uzee imekuwa pana siku hizi
Hahaha, ni utani tu. Siyo serious.
Ila binafsi sijawahi kuwa mpenzi wa app, hata Tapatalk nimejaribu kutumia lakini inanishinda.
Nafikiri ni ile kuzoea kutumia JF kwenye PC zaidi, na browser kwa sehemu kubwa inafanana na JF on PC.