Application Users Vs Browser Users

😂😂😂😂😂

Nitafikisha salamu
 
Alishatoa michango huko juu
Amekuja huyu jamaa Next Man amemaliza kila kitu yaani[emoji847]
Jamaa nilivyosoma tu comments zake sijaona haja ya kuendelea kuchangia

Sent using Jamii Forums mobile app
Oohh basi nimeona uvivu kusoma comments zote hivyo zake sijaziona, nimependa namna watu huko huu walivyoitetea app yaani wamemaliza kila kitu aise.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani yule naona huwa anaamua tu kutuvuruga ili tupoteane humu ndani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani yule naona huwa anaamua tu kutuvuruga ili tupoteane humu ndani
Bora hata Wewe kidogo
Mimi ndo huwa ananivuruga vibaya mno Hadi kichwa kinaniuma

Halafu akiwaga na hasira sijui ndio kile kimalkia kinachochea Moto kichwani

Ukimkuta kwenye stori za kawaida anazipiga vizuri tu kaka yetu T

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We hebu usitake nile ban wakati mie bado mchanga hata mwaka sijatimiza, ndiyo kwanza nina mapengo unataka nifanye kazi inayopaswa kufanywa na wenye meno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu yako Yule embu kaongee naye

Kama amekubadilishia majina ukilala ukiamka lilishakuja jingine, hata hii atakusikia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie mwenyewe hapa kikristo kinanipiga chenga sana tu

Nakuja unipe ufafanuzi juu ya hiyo herufi uliyomalizia nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…