Application Users Vs Browser Users

Application Users Vs Browser Users

Wewe mzee wa 🤣🤣 hayo mambo ya App umeyajulia wapi au unatumia vyote viwili?
Screenshot_20200421-062510.png

Here we go .... Natumaini vyote viwili umeviona 😀😀😀
 
Screenshot_20200421-063115.png

Piga kelele kwa browser akeee weuweee Zoë
Yan huku tunatoa reactions, kama kitu cha kuchekesha nacheka halafu imeisha hiyo.

Huko uzeeni sasa mambo tafrani, ukiona comment ya kuchekesha mpaka umqoute mtu na wewe ndio ukachekee huko ooh ni wastage of time eeh 😂😂😂🏃🏃
 
Hakuna changamoto yoyote kwa anayetumia browser

Notifications on time,inaeleweka,unaweza kuedit ulichoandika(sina uhakika kama APP unaweza kuedit siku hizi),namna ya kutag kwa browser haiko complicated,bold,italic na mazaga zaga mengine yapo huku kwenye browser na ni rahisi mno kuyaapply

Browser haiachi ushahidi wa kwamba unatumia JF(mtu akishika simu yangu hawezi kujua kama hata naijua JF) kwasababu sina APP ya JF
Kujulikana unatumia jf ni msala kiasi hicho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwiiii nilijikuta tu natumia browser kipindi kile cha nyuma enzi za maubuyu chitchat 😎 kwani ilinisaidia sana kupata tags kwa wakati hasa ile saa wambea tunatagiana yaani ilikuwa ukizubaa tu umepitwa. Lol. Cc. Rafiki Numbisa. 😀

Toka hapo ndio natumia hiyo na sionagi ugumu kutumia japo waliozowea App wanakwambia Browser ina mzunguko ambao mi hata siuoni.
 
Kama app ya JF ikifutwa nitapunguza sana kuperuzi

✓Nascroll tu chini hakuna kufungua mapage

✓Na-subscribe kwenye thread zenye mwendelezo mfano..uzi wa Manchester United,Uzi wa picha za vyakula,au ule wa Masihara..Pia na-subscribe nyuzi nanazotaka kuzisoma later on..

✓Pia iko snappy wakati una-navigate

✓Pia nafukua makaburi kiurahisi pia..sina uhakika kama kwenye browser inawezekana

✓Notification napata kama kawaida,so sina tatizo

#TeamJfApp
 
Application Ndio kila kitu Tatizo ni NOTIFICATION na Kutuma picha PM (kwang siwez tuma)

Nimewahi mpa mtu simu Hakua na Smartphone alikua ana-angalia matokea yake nimetok narudi nachungulia namkuta yuko JF [emoji35][emoji35] ame back pages Mpak Karud pages za JF (Security ndogo tofuat na App unaweza log out, kule mpka ufute broswe history [emoji16])

Mtu unatumia JF kama upo Google bwana umebrowse Website ya Ajira [emoji38][emoji38][emoji38]
Ukitumia App unaweza pata All New Threads from All forums (TIMELINE 914k)

Watu wa browsers wakiingia Forum moja mpaka atoke Sio Leo ndio mana unakuta mtu anajiita Mwana MMU yani akiingia kule anashindia huko ni kisanga kutoka [emoji38][emoji38]

Bado Kuna mambo ya pages browser unavinyeza Kule juu Au chini 1 2 3 .... 5 next
Kwenye App unashuka tuu utajua mwenyewe kimpago wako pages zinajihesabu [emoji38][emoji38][emoji38]

Sisi wa App kupitia iyo (TIMELINE ) unarefresh tuu Unapata any commented thread from any forum unaiona according to time So ni mwendo wa kurefresh tuu [emoji7]
So far unaweza kusubscribe forum you want

Hapa ninapo andika sioni mambo mengine zaidi ya keyboard na nachokiandika
kwenye Browser Sasa [emoji38] huko chini Kuna mambo kibao mara kushare whatsApp, twitter, fesibook,forum statistics hapo kule chini kuna contact us, Who we are, Where we are [emoji38][emoji38][emoji38] ni vitu vizuri lakini Vina kera


Kwanini ujiweke gerezani duniana Hapa jipe raha, kwenye App vitu ni Soft Touch bwana eeeh [emoji16][emoji16][emoji16]
mzee umeua[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Viongozi wa jamii forum WAMELEWA SIFA.
haiwezekani tatizo la notification likawa sugu.
Mimi tangu March 26 sijapata notification hata huko kwenye web nako hovyo kabisa.
Cha ajabu ukimtukana mtu wanakulisha BAN fasta lakini matatizo yao hawataki kuyashughulikia

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Back
Top Bottom